1 Peter 2:6

6 aKwa maana imeandikwa katika Maandiko:

“Tazama, naweka katika Sayuni,
jiwe la pembeni teule lenye thamani,
na yeyote atakayemwamini
hataaibika kamwe.”
Copyright information for SwhNEN